Ufugaji na Uvuvi
Kutokana na uhitaji mkubwa wa Mazao ya mifugo na uvuvi Halmashauri imetenga eneo rasmi kwa ajili ya shughuli za Mifugo lenye ukubwa wa Hekta……katika eneo la Utiri, Pia ina mabonde yanayofaa kwa ajili ya uchimbaji wa mabwawa ya samaki katika Vijiji vya Kikolo, Uzena, Kilimani, Kitanda na Mhekela.
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2018 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.