Kilimo na Umwagiliaji
Katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga yapo Maeneo yenye ukubwa wa hekta96,806 yanayo faa kwa kilimo cha Mazao ya biashara na chakula.eneo linalotumika ni Hekta 57,504,Hivyo eneo linalo faa kwa uwekezaji ni Hekta 39,302.
Maeneo hayo yapo katika kata za Kihungu, Utiri, Mbangamao, Mpepai, Kitanda, Kikolo na Kilimani. Mazao ya biashara yanayofaa katika maeneo hayo ni Kahawa, Tumbaku, Korosho, Tangawizi, na Maua, Mazao ya chakula ni Mahindi, Maharage, Ngano, Ufuta, Alizeti, Mihogo, Miwa, Viazi, Matunda na Soya.
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2018 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.